Shughuli Za Uokoaji Wa Wanafunzi Wawili Waliozama Kwenye Mto Mathioya Unaendelea

2022-01-17 22

Shughuli Za Uokoja Wa Wanafunzi Wawili Kutoka Chuo Kikuu Cha Michuki Walio Zama Kwenye Mto Wa Mathioya Siku Ya Jumapili Imeingia Siku Ya Pili. Walioshuhudia Ajali Hiyo Wanasema Kuwa Wanafunzi Hao Walikuwa Kwenye Ziara Eneo Hilo Wakipiga Picha Ambapo Ajali Hiyo Ilitokea.