Serikali Imeahidi Kuongeza Usalama Katika Shule Zilizo Katika Bonde La Kerio. Haya Yanajiri Baada Ya Shambulizi La Hivi Majuzi Karibu Na Shule Ya Wasichana Ya St. Benedict's Arror Huko Marakwet Magharibi Ambapo Milio Ya Risasi Ilisikika Na Kusababisha Hofu.