Familia Moja Yasaka Haki Baada Ya Jamaa Yao Kuuawa Kwa Njia Ya Kinyama
2022-01-14 102
Familia Moja Eneo La Thika Kaunti Ya Kiambu Inalilia Haki Baada Ya Binti Yao Kuwawa Katika Hali Tatanishi Na Bawabu Mmoja. Ndugu Jamaa Na Marafiki Walifanya Maandamano Mjini Thika Wakiitaka waliotekeleza Unyama Huo Kukamatwa