Wizara Ya Afya Yaendelea Kuhimiza Watu Zaidi Wachanjwe

2022-01-13 16

Wizara Ya Afya Imeeleza Hofu Ya Aina Mpya Ya Kirusi Cha Corona Kilicho Na Makali Kuzidi Aina Ya Omicron. Katibu Katika Wizara Ya Afya Susan Mochache Anawarai Wakenya Kutolegeza Kamba Ya Kanuni Za Kuzuia Maambukizi Huku Wakenya Wengi Wakionekana Kususia Chanjo