Suluhu Ya Migogoro Nakuru Mipaka Itatua Kesi Za Migogoro Ya Ardhi Ambazo Zimeongezeka

2022-01-13 13

Serikali Ya Kaunti Ya Nakuru Itaanza Kuweka Mipaka, Kati Ya Kaunti Hio Na Narok Katika Jitihada Za Kutafuta Suluhu Ya Migogoro Ya Ardhi Kati Ya Kaunti Hizo Mbili. Ukosefu Wa Mipaka Umesemekana Kusababisha Vifo Vya Watu, Katika Eneo Za Likia Na Maella, Huku Jamii Ikipigania Rasilimali Na Malisho.