Ruto Azuru Kericho,Bomet

2022-01-10 39

Naibu Wa Rais Willam Ruto Ameendelea Kutamba Nyumbani Mwake Huku Akirai Jamii Yake Kuchagua Kiongozi Mwenye Rekodi Bora Ya Maendeleo.Ruto Aliyezuru Kaunti Ya Bomet Na Kericho Aidha Alichukua Nafasi Hiyo Kushutumu Vikali Matamshi Ya Seneta Wa Kaunti Meru Mithika Linturi Akisema Inakwenda Kinyume Na Demokrasia Ya Taifa.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili