Wingu La Simanzi, Huzuni Na Majonzi Limekumba Kijiji Cha Kigunyo-Mafae Baada Ya Vijana Watatu Wa Darasa La Saba Katika Shule Ya Msingi Ya Mafae Eneo Bunge La Gatanga Wamefariki Baada Ya Kuzama Maji Walipokuwa Wakiogelea Katika Mto Kiama Jioni Ya Jana.