Wabunge Wa Ruto Wabwagwa Bungeni Dhidi Ya Mswada Tata Wa Vyama Vya Kisiasa

2022-01-05 32

Wabunge Wamepitisha Sheria Ya Vyama Vya Kisiasa Kwa Kuruhusu Vyama Vya Kisiasa Kuhalalisha Miungano Miezi Minne Kabla Ya Uchaguzi Mkuu. Sheria Hiyo Iliyowasilishwa Na Kiongozi Wa Wengi Bungeni Amos Kimunya Sasa Inatoa Fursa Kwa Miungano Ya Kisiasa Hasa Azimio La Umoja,One Kenya Na Nyinginezo Kusajiliwa Rasmi. Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti, Vurugu Zilisheheni Bungeni Wakati Wa Upitishaji Wa Sheria Ambayo Naibu Wa Rais William Ruto Anapinga