Muungano Wa OKA Umekanusha Madai Ya Mipango Ya Kujiunga Na Chama Cha UDA. Vinara Wa Muungano Huo Wamekariri Kwamba Watasalia Kuwa Imara Hadi Uchaguzi Wa 2022.