Changamoto Ya Mahitaji Ya Shule Baada Ya Msimu Wa Krismasi

2022-01-03 2

Huku Wanafunzi Wakijiandaa Kurejea Shuleni Wiki Hii, Wazazi Wamelalamikia Gharama Ya Karo Wanayopaswa Kukamilisha Ili Wanao Wakubaliwe Kuendelea Na Masomo. Kulingana Na Baadhi Ya Wazazi Tuliozungumza Nao Huenda Wakakosa Kuafikiana Na Mahitaji Ya Shule Muhula Huu