Sherehe Za Krismasi Wakenya Washerehekea Kwa Mbinu Tofauti

2021-12-25 6

Wakenya Wamejiunga Na Dunia Nzima Kusherehekea Sikukuu Ya Krisimasi .Licha Janga La Virusi Kuvuruga Kote Duniani,Hapa Nchini Wakenya Wamejitokeza Katika Maeneo Ya Burudani.Hapa Jijini Nairobi Kama Ilivyo Ada,Bustani La Uhuru Ilikuwa Mwenyeji Wa Sherehe Hizi,Wakaazi Hapa Wakilazmika Kutumia Eneo Lilotengwa Kwani Bustani Kuu Linakarabatiwa.