Kaunti Ya Embu Imepokea Mchango Wa Vifaa Vya Teknolojia Kufanikisha Upungufu Wa Ueneanji Wa Virusi Vya Ukimwi

2021-12-22 0

Kaunti Ya Embu Imepokea Mchango Wa Vifaa Vya Teknolojia Vya Habari Na Mawasiliano, Vyenye Thamani Ya Shilingi Milioni Tisa Kutoka Shirika La Maendeleao Ya Kimataifa Marekani (Usaid), Ili Kusaidia Mipango Ya Kaunti Ya Kufanikisha Upungufu Wa Ueneanji Wa Virusi Vya Ukimwi, Kupunguza Ubaguzi Kwa Watu Wanaoishi Na Virusi Vya Ukimiwi.