“Chanjo Kwanza,Ndio Upokee Huduma” Waziri Wa Afya Mercy Mwangangi Asisitiza Sharti Uonyeshe Dhibitisho Ya Chanjo Kwenye Maeneo Ya Umma

2021-12-22 2

Wizara Ya Afya Inaendelea Kusisitiza Kuwa Ni Sharti Kila Mmoja Aonyeshe Dhibitisho Kuwa Amepokea Chanjo Dhidi Ya Covid 19 Ili Aweze Kuhudumiwa Katika Afisi Ya Serikali Na Maeneo Mengine Ya Umma. Pia Wanaotoka Nchi Za Ulaya Ni Sharti Wawe Wamechanjwa Na Kuonyesha Dhibitisho Kuwa Wamechanjwa Ili Waweze Kukubalishwa Kuingia Nchini. Hii Ikiwa Ni Njia Ya Kuzuia Ongezeko La Mkurupuko Wa Ugonjwa Wa Covid 19 .