Kaunti Ya Siaya Yaamuru Huduma Za Afya Zisitishwe Kwa Wataokaidi Chanjo Ya Covid-19

2021-12-15 22

Kaunti Ya Siaya Ndiyo Kaunti Ya Kwanza Kufanikisha Amri Ya Kutotoa Huduma Kwa Wananchi Amabao Hawajachanjwa Dhidi Ya Virusi Vya Covid-19. Hili Limejiri Masaa Machache Baada Ya Mahakama Kuu Kufutilia Mbali Uamuzi Wa Wizara Ya Afya Ya Kuwa Mkenya Yeyote Ambaye Hajapokea Chanjo Ya Corona Kutopokea Huduma Za Serikali.