Visa Vitatu Vya Kirusi Cha Omicron Vimeripotiwa Nchini

2021-12-15 14

Aina Mpya Ya Kirusi Cha Corona Kwa Jina Omicron Imeripotiwa Nchini. Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Amesema Visa Vitatu Tayari Vimethibitishwa Na Kusema Visa Hivyo Vimeripotiwa Baina Ya Watu Wanaoingia Humu Nchini Kupitia Viwanja Vya Ndege.