Mahakama Kuu Imetoa Agizo La Kusitisha Amri Ya Wizara Ya Afya

2021-12-14 11

Mahakama Kuu Imetoa Agizo La Kusitisha Amri La Serikali Linalotaka Kila Mtu Anayetafuta Huduma Za Serikali Apewe Chanjo Kamili Na Uthibitisho Wa Chanjo Hiyo Utolewe Kufikia Tarehe 21 Desemba. Jaji Anthony Mrima Alitoa Amri Hiyo Na Kuagiza Kesi Hiyo Isikilizwe Januari 4.