Mahakama Kuu Imetoa Kibali Cha Kukamatwa Kwa Afisa Mkuu Wa Idara Ya Upelelezi Na Mambo Ya Jinai DCI George Kinoti.Jaji Chacha Mwita Kwenye Uamuzi Wake Ameamrisha Inspekta Jenerali Wa Polisi Hillary Mutyambai Kumkamata Kinoti Kwa Kukaidi Amri Ya Korti Ya Kurejesha Silaha Za Mwanabiashara Jimmy Wanjigi. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili