Umoja Wa Waluhya Kwenye Mizani Huku Chama Kipya Kikibuniwa Kuvuruga Musalia Na Wetangula

2021-12-14 2

Waasi Wa Chama Cha FORD Kenya Wamezindua Chama Kipya Cha Democracti Action Party Wakiwa Na Azimio Kufunga Na Kuzima Ndoto Ya Seneta Wa Bungoma Moses Wetangula Na Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi.Chama Hicho Kinachomilikiwa Na Waziri Wa Ulinzi Eugen Wamalwa Kinaunga Mkono Kinara Wa Odm Raila Odinga Katika Safari Yake Ya Ikulu.