Babu Owino Yu Huru Baada Ya Mahakama Kumuondolea Mashtaka Katika Kesi Ya DJ Evolve

2021-12-14 12

Mbunge Wa Embakasi Mashariki Babu Owino Ameondolewa Mashtaka Katika Kesi Ambayo Alishtakiwa Kwa Jaribio La Kumuua Felix Orinda, Almaarufu Dj Evolve.Hii Ni Baada Ya Mahakama Kuruhusu Kuondolewa Kwa Kesi Hiyo Na DJ Evolve.