Wanafunzi 9 Wa Shule Ya Msingi Watungwa Mimba Magarini, Kilifi

2021-12-13 1

Mimba Za Mapema Kwa Watoto Wa Shule Zimekithiri Mno Kaunti Ya Kilifi. Kisa Cha Hivi Juzi Kikiwa Ni Cha Wanafunzi Tisa Wa Shule Ya Msingi Ya Muyu Wa Kae Ambao Wametungwa Mimba. Wasichana Hao Ambao Wako Kati Ya Miaka 14 Na 16 Wamo Katika Hifadhi Na Usaidizi Wa Kundi La Kina Mama, Wanaowanusuru Kina Dada Wanaopitia Dhuluma Za Kijinsia.