Waziri Eugen Wamalwa Kuzindua Chama Kupunguza Makali Ya Mudavadi Na Wetangula

2021-12-13 5

Jamii Ya Mlembe Inakabiliwa Na Kibarua Kigumu Cha Umoja Huku Waziri Wa Ulinzi Eugene Wamalwa Akilenga Kuzindua Chama Chake Hapo Kesho .Chama Cha Wamalwa Cha Dap-K Kinachounga Mkono Kinara Wa Odm Raila Odinga Kinapania Kupunguza Makali Ya Vigogo Wa Magharibi Hasa Musalia Mudavadi Wa Anc Na Moses Wetangula Wa Ford Kenya Waliomo Katika Muungano Wa One Kenya .Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anakupa Undani Wa Taarifa Hiyo//