Nipe Nikupe Inazidi Kushuhudiwa Kati Ya Wandani Wa Naibu Rais William Ruto Na Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga. Viongozi Hao Wanaonekana Kurushiana Cheche Za Maneno Huku Wakiwapigia Debe Vinara Wao Na Kuwtafutia Uungwaji Mkono Kabla Ya Uchaguzi Mkuu.