Wakenya Wamemtaka Rais Kuafikia Ajenda Nne Kuu Za Serikali

2021-12-11 10

Matayarisho Ya Jamuhuri Yametamatika Ili Kuanda Sherehe Za Jamuhuri Hapo Kesho. Tumezungumza Na Baadhi Ya Wakenya Kuhusu Hali Halisi Ya Maisha Tangu Jamuhuri Iliyopita Huku Wakenya Wengi Wakimtaka Rais Uhuru Kenyatta Kuafikia Ajenda Kuu Za Serikali Almarufu Big Four Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022.