Hamasisho Kuhusu Dhuluma Za Kijinsia Lang'oa Nanga Kaunti Ya Kisii

2021-12-11 13

Wanaharakati Wa Haki Za Kibinadam Wameapa Kumaliza Unyanyapaa Na Ukosefu Wa Usawa Katika Kaunti Ya Kisii. Wanaharakati Hao Wanafanya Hima Kueneza Hamasisho La Usawa Kwa Wakaazi Wa Kisii Ili Kuondoa Dhuluma Za Kijinsia.