Misa Ya Wafu Waliofariki Katika Ajali Ya Basi Iliyofanyika Katika Mto Enziu Imefanyika Hivi Leo Katika Kaunti Ya Kitui. Ibada Hiyo Iliongozwa Na Askofu Joseph Mwongela Wa Jimbo Katoliki La Kitui. Huku Viongozi Wa Kitaifa Wakiongozwa Na Waziri Monica Juma Na Gavana Charity Ngilu Wakihudhuria.