Kina Mama Walalamikia Visa Vya Ubakaji Embu

2021-12-09 3

Zaidi Ya Kina Mama 100 Kutoka Kijiji Cha Kagaita Kaunti Ya Meru Wameandamana Wakilalamikia Ongezeko La Visa Vya Ubakaji Vya Kinamama Wazee.
Kinamama Hao Wameandaa Maandamano Wakisema Kuwa Kundi La Vijana Ambao Linawahangaisha Kwa Kuvunja Nyumba Zao Kutumia Panda Na Kuwabaka. Wanasema Kuwa Wamepiga Ripoti Kwa Vitengo Vya Usalama Ila Lalama Zao Zimeangukia Skio La Kufa. Pamoja Na Hayo Wamelalamikia Ongezeko La Pombe Haramu Wanalosema Linachangia Visa Hivyo