Watu Wawili Wafariki Baada Ya Kilipuzi Cha Kutijengenezea Kulipuka

2021-12-08 1

Watu Wawili Wamefariki Baada Ya Kilipuzi Cha Kutijengenezea Kulipuka Kwenye Nyumba Moja Katika Kijiji Cha Kamloma, Eneo La Awach Kaunti Ya Kisumu. Miongoni Mwa Waliofariki Ni John Odhiambo Ondiek Kwa Utani Pope Anayekisiwa Kuwa Mfuasi Wa Kundi Haramu La Al-Shabaab, Pamoja Na Mwanamke Anayeaminika Kuwa Mmiliki Wa Nyumba Hiyo.