Wajumbe Kutoka Mrengo Wa ODM Na Jubilee Wamekutana Jijini Nairobi Kwa Madhumuni Ya Kuweka Mikakati Ya Kufanikisha Mkutano Wa Azimio La Umoja Utakaoandaliwa Tarehe Kumi Mwezi Huu Katika Uga Wa Kasarani. Wajumbe Hao Wamemhakikishia Kinara Wa Odm Raila Odinga Ya Kuwa Mkutao Huo Utakua Wa Kufana.