Watu Wawili Wamepigwa Risasi Na Kujeruhiwa Eneo La Ol Moran

2021-12-06 2

Watu Wawili Wamepigwa Risasi Na Kujeruhiwa Vibaya Eneo La Kahuho, Ol Moran, Kaunti Ya Laikipia. Tukio Hilo Limejiri Baada Ya Wahuni Waliokuwa Wamejihami Kufanya Mashambulizi Pale Majeruhi Walifikishwa Katika Hospitali Ya Kaunti Ya Nyahururu Kupokea Matibabu. Hivi Karibuni Familia Nyingi Zimeathirika Pakubwa Kufuatia Utovu Wa Usalama Huku Zingine Zikipoteza Wapendwa Wao Kutokana Na Mashambulizi Ya Mara Kwa Mara.

Free Traffic Exchange