Ruto Arejea Pwani Kujipigia Debe Kabla Ya Uchaguzi Mkuu

2021-11-27 6

Naibu Rais William Ruto Arejea Pwani Kujipigia Debe Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022. Ruto Amewataka Wakaazi Wa Kwale Kutumia Kura Zao Ili Kubadili Mustakabali Wa Taifa.