Raila Kwa Siku Ya Pili Alikita Kambi Kaunti Ya Nyeri

2021-11-27 3

Kinara Wa ODM Raila Amolo Odinga Kwa Siku Ya Pili Alikita Kambi Kaunti Ya Nyeri Akipigia Debe Azimio La Umoja Katika Kaunti Hiyo. Raila Ameshikilia Kuwa Nia Yake Mlima Kenya Si Kupata Wafuasi Bali Kushirikiana Na Viongozi Kutoka Mkoa Wakati Na Wafanyabiashara Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022.