Kampuni Ya Sukari Ya Mumias Imeyumba Na Kufeli Kwa Kuda Mrefu Ila Kuna Mwanga Wa Matumaini Baada Korti Kumwagiza Meneja Mwandamizi Wa Kampuni Hiyo Ponangipali Ramana Kumtaja Mwekezaji Atakayeinusuru Kampuni Hiyo. Mwekezaji Atakayeidhinishwa Anatarajaiwa Kuinua Kampuni Hiyo Ambayo Inakumbwa Na Madeni Na Uhaba Wa Zao Ghafi La Kuzalisha Sukari.