Familia Ya Afisa Wa Polisi Aliyeuawa Malindi Yataka Haki Itendeka
2021-11-26
7
Kufuatia Kifo Cha Afisa Wa Polisi Anayedaiwa Kupigwa Risasi Na Polisi Mwenzake Katika Kaunti Ya Laikipia Siku Ya Jumanne. Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Mwendazake Wamelitaka Suala Hilo Kuchunguzwa Ili Haki Itendeke.