Nchi 6 Za Afrika Ya Kusini, Hongkong Zinaathirika Na Aina Mpya Ya Korona

2021-11-26 3

Aina Mpya Ya Corona Imegunduliwa Katika Nchi Za Botswana, Africa Kusini Na Hong Kong Ambayo Inaweza Kuenezwa Kwa Urahisi Zaidi Kuliko Aina Nyengine Iliyoko Kwa Sasa. Kaimu Mkurugenzi Mkuu Wa Afya Patrick Amoth Amewasihi Wananchi Wapate Chanjo Ya Corona Ili Wasije Wakazuiwa Kupata Huduma Za Serikali Kuanzia Tarehe 21 Mwezi Wa Disemba.