Ruto Avuna Mlima Kenya Kwa Kuwapokea Wabunge Huku Raila Akipaa Pia Mlima

2021-11-26 5

Wababe Wa Kisiasa Wakiongozwa Na Naibu Wa Rais William Ruto Na Kinara Wa ODM Raila Odinga Wamepiga Kambi Eneo La Mlima Kenya Huku Kila Mmoja Akivuta Kamba Kuelekea Upande Wake. Ruto Amepeleka Kampeni Zake Kaunti Ya Nyandarua Huku Naye Raila Akiwekeza Ndoano Kaunti Ya Nyeri.