Kamati Ya Ulinzi Katika Benge Kuu Nchini Yataka Kesi Ya Agnes Wanjiru Kufanikishwa.

2021-11-25 1

Kufuatia Uzinduzi Wa Kifo Cha Agnes Wanjiru Mwaka Wa 2012 Mikononi Mwa Mwanajeshi Kutoka Uingereza, Kamati Ya Ulinzi Na Mahusiano Ya Nje Katika Bunge Sasa Imelalama Kuhusiana Na Kutoweka Kwa Faili Zinazohusiana Na Kesi Hii Ili Kufanikisha Uchunguzi Huo Kikamilifu.