Raila Asema Hajaanza Kampeni Za 2022 Huku Akitaka IEBC Kumwandama Ruto.

2021-11-23 45

Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Amejiunga Na Naibu Wa Rais William Ruto Kwa Kupinga Tetesi Za Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Kwamba Wanaendesha Kampeni Za Mapema.Raila Aidha Amerushia Lawama Ruto Kwamba Yeye Ndiye Anayepiga Kampeni Kinyume Na Sheria.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili.