Musalia Afokea Uhuru Na Raila Wanaotaka Kenya Kutawaliwa Na Familia Mbili

2021-11-14 13

Vinara Katika Muungano Wa One Kenya Wametangaza Kwamba Hivi Karibuni Watatangaza Mgombea Wa Urais Wa Muungano Huo.Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Aidha Amegadhabishwa Na Vitisho Vya Serikali Kuhusu Ni Nani Wa Kuunga Mkono Katika Uchaguzi Mkuu Ujao.