Wasomi Wadai Kuondoa Shule Za Bweni Hakutapunguza Mikasa Ya Moto Shuleni

2021-11-14 5

Baadhi Ya Wasomi Wametoa Hangaiko Lao Kuhusu Kutolewa Kwa Shule Za Bweni Kama Suluhu Ya Ongezeko La Mikasa Ya Moto Shuleni Ambayo Imesababisha Uharibifu Wa Mali Ya Thamani Ya Mamilioni