Wakaazi Katika Kaunti Ya Kilifi Waathirika Kutokana Na Ukosefu Wa Maji

2021-11-08 12

Wakaazi Katika Eneo Bunge La Kaloleni, Kaunti Ya Kilifi, Wamelalamikia Ukosefu Wa Maji Kufuatia Kukauka Kwa Mabwawa Yao Ya Maji. Wakazi Hao Wamedai Kuwa Bwawa Lilosalia Linaweza Kukauka Katika Kipindi Cha Wiki Mbili Zijazo Kufuatia Ukwepaji Mkubwa Wa Maji Katika Eno Hilo Huku Wakiitaka Serikali Kuchukua Hatua Itakayolenga Kuwanasua