Moto Wateketeza Soko La Gikomba Na Kuteketeza Mamilioni Ya Mali

2021-11-08 2

Wakazi Katika Soko La Gikomba Wamelalamikia Hasara Ya Mkasa Wa Moto, Ulioshuhudiwa Katika Soko Hilo Asubuhi Ya Kuamkia Leo Na Kupelekea Baadhi Ya Maduka Na Bidhaa Zao Kuharibiwa.Haya Yanajiri Baada Ya Wafanyabiashara Hao Kupokea Taarifa Kuwa Huduma Za Jiji La Nairobi Liliagiza Mahakama Kuwafurusha Wauzaji Wa Mitumba Ili Kufanikisha Upanuzi Wa Zahanati Ya Pumwani Majengo