Gavana Wa Kakamega Apendekeza Hukumu Ya Miaka 60 Kwa Washtakiwa

2021-11-07 2

Gavana Wa Kakamega Wyclife Oparanya Anapendekeza Hukumu Ya Miaka Sitini Kwa Wanafunzi Watakaopatikana Na Hatia Ya Kuchoma Shule. Semi Za Gavana Huyo Zajiri Huku Shule Zaidi Zikizidi Kuteketea. Kufukia Sasa Kumekua Na Mikasa Ya Moto Katika Shule Zaidi Ya Thelathini Huku Baadhi Yao Zikifungwa.