Mahakama Kuu Yaitaka Tume Ya Iebc Kuendelea Na Shugli Ya Usajili

2021-11-01 17

Huku Shughuli Ya Usajili Wa Wapiga Kura Ikitarajiwa Kukamilika Hapo Kesho,Vituo Vya Usajili Vizadi Kushuhudia Idadi Ndogo Ya Wanaojitokeza Kujisajili, Aidha Mahakama Kuu Imetoa Amri Kwa Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc,Kusitisha Kukamilisha Shugli Hii Kwani Bado Haijaafiki Kusajili Wapiga Kura Takriban Milioni Nne Nukta Tano.