Ongezeko La Visa Vya Moto Vinavyoshuhudiwa Shuleni Limeibua Hisia Mseto Miongoni Mwa Wakenya Huku Viongozi Wakihuzunishwa .Viongozi Hao Sasa Wanawataka Maafisa Wa Polisi Waanzishe Uchunguzi Na Kuwatia Mbaroni Wanafunzi Wanaoshukiwa Kuanzisha Mioto Shuleni