Jubilee Kuandaa Mkutano Wa Kitaifa Wa Wajumbe Kumtia Ruto Katika Jubilee

2021-11-01 6

Chama Tawala Cha Jubilee Hatimaye Kimeafikiana Kufanya Mkutano Wa Kitaifa Kutatua Maswala Ibuka. Jubilee Kinachowaleta Pamoja Rais Uhuru Kenyatta Na Naibu Wake William Kwa Mda Kimekuwa Kwa Malumbano Makali Hali Iliyofanya Ruto Kukwepa Na Kuegemea Upande Wa Chama Cha UDA