Baaadhi Ya Viongozi Wanaitaka Serikali Iongeze Juhudi Zake Kuwafadhili Wakazi Katika Mkoa Wa Kaskazini Mashariki Walioathirika Pakubwa Na Janga La Ukame. Licha Ya Serikali Kutenga Zaidi Ya Bilioni 2 Kuwasaidia Watu Hao, Mratibu Wa Usalama Nicodemus Ndalana Eneo Hilo Amewasihi Viongozi Watambulishe Sehemu Zilizoathirika Zaidi Ili Zipate Usaidizi Kutoka Kwa Serikali.