Naibu Wa Rais Atua Mukuyuni Kaunti Ya Makueni

2021-10-28 2

Uchaguzi Wa 2022 Unapowadia, Wagombea Urais Wazidi Kubuni Mbinu Za Kuwachumbia Wapiga Kura.Naibu Wa Rais William Ruto Ameendeleza Kampeni Yake, Hii Leo Akitua Eneo La Mukuyuni Kaunti Ya Makueni Ambako Alimpiga Vijembe Kinara Wa ODM Raila Odinga Akisema Kwamba Hana Lolote Jipya La Kuwapa Wakenya.Nao Muungano Wa OKA Umeshikilia Kuwa Hautamuunga Mkono Raila Odinga, Oka Inasema Kuwa Bado Inafanya Mazungumzo Kubaini Ni Nani Watakayemuunga Mkono Katika Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao