Pigo Kwa IEBC Baada Ya Kusimamishwa Kuchapicha Makaratasi Ya Uchaguzi

2021-10-28 4

Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Imepata Pigo Baada Ya Bodi Ya Mununuzi Kusimamisha Zoezi La Kutoa Tenda Kwa Kampuni Moja Ya Kigiriki Kusambaza Vifaa Vya Kupigia Kura Katika Uchaguzi Mkuu Wa 2022.Hii Ni Baada Ya Kampuni Iliyofeli Kupata Tenda Kushtaki Iebc Kwa Madai Kwamba Zoezi La Utoaji Tenda Haikufuata Utaratibu Wa Sheria.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Amevailia Njuga Taarifa Hiyo//