Waathiriwa Wa Macho Nakuru Wamepokea Matibabu Ya Bure

2021-10-24 8

Zaidi Ya Wakaazi 3,000 Wa Kaunti Ya Nakuru Wamepokea Huduma Ya Matibabu Ya Macho Katika Zoezi Ambalo Liliandaliwa Na Kaunti Ya Nakuru.Hii Inafuatia Ongezeko La Visa Vya Watu Kuhushudia Shida Za Macho.