Musalia Atetea Ruto Kwa Kuonya Vijana Wanaozua Vugugu Kwenye Kampeni

2021-10-24 11

Kinara Wa Chama Cha Amani National Congress Musalia Mudavadi Ametilia Shaka Swala La Vijana Kutumika Kuzua Vurugu Katika Mikutano Ya Kisiasa Akisema Hatua Hiyo Inayumbisha Amani Ya Taifa.Mudavadi Aliyepeleka Kampeni Kaunti Kajiado Amewarai Vijana Kujiepusha Na Wanasiasa Kunaowagawanya Katika Misingi Ya Kisiasa Na Kikabila Akisema Taifa La Kenya Limepiga Hatua Kubwa Kupata Amani Na Umoja Unaodumishwa Sasa.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Musalia Aidha Amejipigia Debe Akisema Yeye Ndiye Pekee Wa Kuaminiwa Iwapo Atachaguliwa Kama Rais Wa Tano//